Haya tena wadau wa Wedding Alya... Sorry for not posting for some few days. Tumekuwa tukisort mzigo wetu mpya ulioingia wiki hii. Now new dresses available, biggest stock ever, best quality and unbeatable prices.
We love to see you at our store. Ndio tunapiga picha some dresses. Will post them as soon tukimaliza.
Mfano wa nguo zilizofika ni za aina zote, za kubana shepu, zenye vimikono, zenye lace kwa juu, cinderellas, etc etc...Kama
We love to see you at our store. Ndio tunapiga picha some dresses. Will post them as soon tukimaliza.
Mfano wa nguo zilizofika ni za aina zote, za kubana shepu, zenye vimikono, zenye lace kwa juu, cinderellas, etc etc...Kama
Kanansia
Rhoby Mwita
Hellen
Patricia
Stella
Consolata Mtana
Latifa
Irene
Ritha
Kana send off
Gesla
Kanansia
Asikwambie mtu...kwa nguo za harusi tunaongoza kwa ubora wa kimataifa na style za kisasa zaidi. Kila NGUO unayoifikiria utaipata
Usikose kupitia Wedding Alya this week.
We love YOU!
You have read this articleCinderella wedding dress /
Fit and Flare Wedding Dress /
mermaid send-off dress /
Mermaid Wedding dress /
New Arrivals- Wedding Alya /
Tanzania weddings /
Wedding Alya Photo Shoot /
Wedding dresses in Tanzania
with the title New Arrivals January/February 2014. You can bookmark this page URL https://alyaweddingonline.blogspot.com/2014/01/new-arrivals-januaryfebruary-2014.html. Thanks!
Write by:
Unknown - Wednesday, January 22, 2014
Thanks for sharing this information. I really like your blog post very much. You have really shared a informative and interesting blog post with people..
ReplyDeleteBridesmaid Dresses